Napita tu. Staki uchokozi
Hahahahhh hujambo lakini?
Napita tu. Staki uchokozi
Hahahahhh hujambo lakini?
Sina jambo shosti. Namuogopa Jerrymsigwa, mchokozi sana.
Sina jambo shosti. Namuogopa Jerrymsigwa, mchokozi sana.
Nambe we ni jembe la ukwei..
Hahahahaaa nyama ya ulimi shosti...
Deal zote zinafanyika fb, nauza smile skype halafu cash mpesa teh.. farkhina
Mjini shule ndugu yangu...nking, aa sharubu hapa ntakosa hata buku ya bundle.. Jerrymsigwa
Jerrymsigwa hivo ndio ulikula yote yale peke yako? We asa mroho...Mmmmh mmh King'ast we sema umekumbuka ile kitu nilipika juziiii 'beans' usikwepe
Mwenzenu jirani ana mkesha. ...hivyo... Kn muziki Wa kufa ...Ki ukweli wananipa kampani ktk lindo ...ttz keleleeee......karibuni
Mwenzenu jirani ana mkesha. ...hivyo... Kn muziki Wa kufa ...Ki ukweli wananipa kampani ktk lindo ...ttz keleleeee......karibuni
mhhhhhh! kuna vijimambo humu.
mhhhhhh! kuna vijimambo humu.
Tunashea stress, utafiti unaonesha jf na social network nyingi zimepunguza sana
1. Homicide n suicide-watu wana platform ya kujieleza na kupata new ideas
2. Imepunguza masmbukizi ya ukimwi yani hakuna kuonana; mfano tu mi niwe na King'ast niko huku miguuni kwa dunia na yeye hukoooo...mpaka kupigana kibuti hatujaonana
So ni njema sana hii-les xhale
Kwa kweli maana usiku na mistress hii uwe mwenyewe na hamna vitu kama hivi unaweza ukapata ugonjwa wa moyo bure kama sio kufa..
Hilo la pili nalo linahusu...
Nimependa sentensi yako ya mwisho