bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,813
Hahahahahaha basi tandika huo mkeka weka na maji ya kunawa...
Chakula tayari njooni...
kumbe hiki chakula kitamu sn waliokikosa kama Valentina na Ngongoseke nitawaadithia.
jana kulikuwa na mgeni @ binamutz anavyojiita ile nimeanza kumwambia habari za wachawi akazimia mazima, Arushaone nae alichungulia sijui @ Ladydoctor alikua wapi!
Mkuu mie sijakuelewa, unahitaji skype id ama aje?
Nimesikia best, ila ki-ukweli sikuwa nimesikia kwani binamutz aliniita kwa sauti ya chini sana!!
Alafu humu ndani leo nina kesi na nyie,subirini wengine waamke mnieleze vizuri.....kwanza aliekula share yangu jana ajiandae kwa maelezo ya kina
Nambe inabidi uwe mwenyekiti wa wakeshaji-tisha sana weweHapo mie sipoo....
Mi nlikuwa wa kwanza kula jikoni....
Muulize billy ndio alikuwa anasifia mno msosi....
Halafu hata Jerrymsigwa alikuwa anapotea potea mno jana anaweza akahusika na hili...
Ila
mashallah chakuls kitam hiki....Hahahahahaha basi tandika huo mkeka weka na maji ya kunawa...
Chakula tayari njooni...
Maharage matupu?ya sukari au?middlebopper huko wapi mkuu chakula tayari huko amkeni njooni mle Valentina, Nambe, Jerrymsigwa, mimi49 mtakula maharage.