Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Hii post iko active day n night
----🐼🐼🐼🐼🐼🐼----
 
Jana nimewaamsha niliposikia footsteps nilipotoka kuangalia nini nikakuta machalii flani wanaulizia kwa Ngongoseke ile narudi kumuulizia farkhina chakula anadai kimeisha anaosha vyombo dah Jerrymsigwa jana ulikuwa wapi sijakuona zaidi ya Jaliwat na valentine ok tukutane mida yetu.

Poa mkuu, baada ya mishe za whole day sasa nilalepo(mwanza slang). Kama kawa mida yetu tutakutana
 
Last edited by a moderator:
Jana nimewaamsha niliposikia footsteps nilipotoka kuangalia nini nikakuta machalii flani wanaulizia kwa Ngongoseke ile narudi kumuulizia farkhina chakula anadai kimeisha anaosha vyombo dah Jerrymsigwa jana ulikuwa wapi sijakuona zaidi ya Jaliwat na valentine ok tukutane mida yetu.

jana kulikuwa na mgeni @ binamutz anavyojiita ile nimeanza kumwambia habari za wachawi akazimia mazima, Arushaone nae alichungulia sijui @ Ladydoctor alikua wapi!
 
Last edited by a moderator:
jana kulikuwa na mgeni @ binamutz anavyojiita ile nimeanza kumwambia habari za wachawi akazimia mazima, Arushaone nae alichungulia sijui @ Ladydoctor alikua wapi!

Na leo sijui watakuepo...leo jamani mduara uwekwe plz,,hizo sabufa zikaguliwe mapema kama zina shda zirekebishwe. Msosi gani leo na mpishi nan?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom