Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Hakuna kama kulala sehemu nzuri alaf mvua hiwe inagonga.....karibuni singida muda huu enyi nyote mnaosumbuliwa na magonjwa yakukosa usingizi nami nitawasaidia
 
Hakuna kama kulala sehemu nzuri alaf mvua hiwe inagonga.....karibuni singida muda huu enyi nyote mnaosumbuliwa na magonjwa yakukosa usingizi nami nitawasaidia

Duh aisee napiga picha hiyo ya mvua na uko bed.... Hongera mkuu alfajir ndio hiyoo inaishia sasa itabidi uamke tu
 
Kwani umekosa chakula? Pole sn mi nilikua nazunguka kuwaita mje mle ila nimekuvulia kofia Nambe.

Teh teh mziki mkubwa...si unaniona na air phone zangu nalinda huku najivinjari na cow boys...country music hoyee si unaona nna ule mkofia wa duara billy
 
Last edited by a moderator:
Bora mie nlidokoa jikoni....
Najua mtanizodoa ila nimefaidi teh

Haahhahahaha ndio maana nyama nkaona zimepungua...😱😱😱:
Basi nkamsingizia nyau wangu maskini...kumbe kiumbe binaadamu na miguu yake miwili ndio kadokoa🙄🙄🙄
 
Hakuna kama kulala sehemu nzuri alaf mvua hiwe inagonga.....karibuni singida muda huu enyi nyote mnaosumbuliwa na magonjwa yakukosa usingizi nami nitawasaidia

Ee bwana singida upepo tu ndio tatizo..unapishan barabarani kila mtu katoa meno utajua anakuchekea kumbe upepo huo na vimacho viduchuu...pita pembeni ya barabara hafu lipite gari kubwa mweeeh ka mzembe wa kula..unaweza pepea...
Heshima yako mkuu saimon
Imejipost tu hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom