Mbona nilikuita kwa sauti tuu mkuu sema utakuwa ulivaa earphone
Ile theard ya wanawake wa jf wengi wazee mbna sion tena?
haaaa kile chakula cha farkhina kilinilevya kwa utamu ha ha ha hayo maharagwe ya sukari nataka niyapikie uji wa pilipili manga!!
Ohhh missed you too!Hata wewe hunimiss?
Nambe inabidi uwe mwenyekiti wa wakeshaji-tisha sana wewe
Mhhh Ngongoseke huwa hanionei eaha kabisa najua tu atanipiga kura ya SIYOOOO.
Jamani kama Nambe yuko macho hadi time hii anidai beer weekend
Me niliposoma tu ile thread hata sikuendelea itakuwepo tu
Nataka kulewa.....zikipanda nimwage radhi....
Haya maandalizi ya furahi day spesheli...halafu hz bia siku mbona hazileweshi.....
Hebu fanya mpango wa bapa basi Jerrymsigwa
Mhhh Ngongoseke huwa hanionei raha kabisa najua tu atanipigia kura ya SIYOOOO.
Ngongoseke nani kakufundisha utoro siku hizi....
Hope uko poa.
Haaaaaaa kumbe upo? Au account yako mnasign in wengi!! Duh
Bapa ha ha haa gongo ya kiwandani, nakuandalia dompo
Nisimsikie mtu kulalamika eti hajala sijui kanyimwa...
Kutandika mkeka hamkutaka nkatandika mwenyewe mpishi...
Kukosha vyombo ndio kabisaa ndicho kilichowafanya msije kula...
Leo nanunua sahani za karatasi ugomvi wishe...😛😛😛😛