Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

mi nimekuja kusaini tu. nipo hapo baa ya jirani tunakunywa visichana na Nambe

Sasa patner umeshanichomea hapa...
Mie nilisema leo baltika tu.
Viroba vinanipeleka vibaya...
Ujue nimetegea jikoni RedGiant
 
Last edited by a moderator:
Duh Mandela ameaga RIP check CNN breaking news.
 
Ndio kusema mmetoroka lindo au mmeenda kula kimya kimya mie huku chobingo nikasahaulika
 
Ndio kusema mmetoroka lindo au mmeenda kula kimya kimya mie huku chobingo nikasahaulika

Ahahahahahaha hatukusahau maana wewe kwa kuonja sikuwezi kila wakati waja jikoni...😉😉😉😉😉😉😉😉
 
Back
Top Bottom