Ndio kusema mmetoroka lindo au mmeenda kula kimya kimya mie huku chobingo nikasahaulika
Ahahahahahaha hatukusahau maana wewe kwa kuonja sikuwezi kila wakati waja jikoni...😉😉😉😉😉😉😉😉
Duh Mandela ameaga RIP check CNN breaking news.
Hahahahaa nkajua wamejipendelea...
Wee pasingetosha humu lol
sijui nimewai chakula make leo nina lindo mbili pamoja na ya Jaliwat ?
Mmejificha wapi??
Nahisi kama mmetoka pair pair hapa.. Jerrymsigwa
Umewahii.....kula naona hawa wanaleta pozi..!
vp twaweza anza kula farkhina au tumstue mgeni wetu Nambe tule nae coz hapa siwaoni Jerrymsigwa Ngongoseke , Valentina wala King'asti
Duh usingiz mda huu mkuu
me ndo wamwisho kulala, humu Ndani?
billy wenzangu mmeondoka kimya kimya nikajionea tabu ya nini..nikajituma mwenyewe jikoni saa hizi mambo yangu safi...middlebopper huko wapi mkuu chakula tayari huko amkeni njooni mle Valentina, Nambe, Jerrymsigwa, mimi49 mtakula maharage.
farkhina weeh?