Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Mkuu heshimu kazi za wenzako, niko lindo leo.
weee nawe umetoka wapi?au Kisimiri?
Mkuu heshimu kazi za wenzako, niko lindo leo.
umemshikia zamu farkhina au?
Naamin ni salaama kwa vile kidogo tu yashakata kiu
Ova mkuu kamanda leo nipo sitaki tena maharage nataka chakula kitamu nishamwambia farkhina atakuja nalo ova.
Hahaha campuni tofauti ya kwetu inaitwa lala uibiwe
hivi hayana chumvi?
sijui leo kapitia wapi hajafika mpaka muda huu...
Valentina mbona unaniacha mgen mwenyeweKaribu mgeni,jisikie uko nyumbani eeh...nkuletee kinywaji gan?
weee nawe umetoka wapi?au Kisimiri?
Daaah hata cjui yapoje manaake yanautamu wa kila aina yaani mixer ukwaju,asali,pilipili
Mshalala????
Anakuja binamu yangu muda simrefu nishamuamsha
cc@farkhina
mda bado kijana,umechoka??
Me ndo kwanza naingia lindo naona pako kimya sana had nahsi majambaz yana ni tym
Me ndo kwanza naingia lindo naona pako kimya sana had nahsi majambaz yana ni tym