Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Tukutane midaaaaaaa byeeee
habari zenu wapenzi. natamani sana kupiga story, lakini afya mgogoro. kila la kheri.
Ni saa 8.45 usiku, no usingizi huu utakua ugonjwa sasa! Duh hii thread imenirogea usingiz
Sasa naona jicho moja linasinzia ingawa kunakucha😜😜
habari zenu wote
Nzuriiiiiiiii
leo wakeshea wapi?
Ntakesha hapa ila nakunywa kahawa kwanza
Waaaaoh....hapo umenigusa kumtima...
Bapa inanipeleka vibaya siku....
Nisimsikie mtu kulalamika eti hajala sijui kanyimwa...
Kutandika mkeka hamkutaka nkatandika mwenyewe mpishi...
Kukosha vyombo ndio kabisaa ndicho kilichowafanya msije kula...
Leo nanunua sahani za karatasi ugomvi wishe...😛😛😛😛
Ngekiwa na nguvu tungepiga story
habari zenu wote