Za asubuh wapendwa mmeamkaje kwa wale wanaoenda kazin nawatakia kaz njema na kwa wale mapopo aka walinzi mlale sasa sababu zamu yenu ya kujenga taifa imepita now muwaachie wengine
Tunashkuru walinzi tumeongezeka siku hizi kwanza ilikuwa tabu@Jerrymsigwa haishi kupata wageni farkhina kutwa anasinzia lindoni,huyu mimi49 na valentine wao na simu zao za mchina kutwa vanga,na miduara,bora Jawilat haishi kwenda dukani kwa mpemba