mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
One lv mkuu na ninavopenda sifa ntalinda had over tym
Last edited by a moderator:
muda wa majambazi bado sa hivi ni muda wa wachawi..kwani unawaogopa?
habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
Jaman wachawi tena msifanye nikatupa lungu langu bure na kutoka nduki nawaogopaje hao watu
wale makamanda lindo mjiandae mda wetu ndo huu tena. Over. Kamanda farkhina Jerrymsigwa, Ngongoseke, Jaliwat amkeni Over.
nahisi anaandaa recipes za kule jukwaani..
Hahaahahaha shosti ulijuaje?
farkhina hujalala??
mweh! dar raha eeh!
he he he leo niimbe samaki....pole samaki pole....kwa wanavyokufanya...pole samaki pole wanakula mpaka kichwa....
nishawadia haya njoo tutete sasa....:smile-big:Jamani wakumtima sikuoni uko wapi? mimi49