Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

jana kulikuwa na mgeni @ binamutz anavyojiita ile nimeanza kumwambia habari za wachawi akazimia mazima, Arushaone nae alichungulia sijui @ Ladydoctor alikua wapi!

Hahahaha we me muoga bwana naogopa wachawi ukitaka nilimbie niambie tena leo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenichekesha sana Jawilat kwaiyo mgeni akaenda majumla lol wakaribishe wote.

jana kulikuwa na mgeni @ binamutz anavyojiita ile nimeanza kumwambia habari za wachawi akazimia mazima, Arushaone nae alichungulia sijui @ Ladydoctor alikua wapi!
 
Last edited by a moderator:
Hodiii humu...
Leo mapemaa nimeingia lindoni....
Sitaki tabu na boss mie....
Hamjambo mlionitangualia....
 
Hatujambo Nambe karibu sn malindoni si bado tupo we ke/me km ke kawasaidie farkhina na King'asti kuandaa chakula mi naenda kufata soda.

Hodiii humu...
Leo mapemaa nimeingia lindoni....
Sitaki tabu na boss mie....
Hamjambo mlionitangualia....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom