Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

mpe nusu farkhina atakusaidia kusoma....

Shoga angu nusura niwe kiziwi....fire alarm yanalia basi hizo kelele zake natamani kulia....kila mnapojificha sauti inafika🙁🙁🙁😱😱😱😱😱😱😡😡😡
 
Last edited by a moderator:
Shoga angu nusura niwe kiziwi....fire alarm yanalia basi hizo kelele zake natamani kulia....kila mnapojificha sauti inafika🙁🙁🙁😱😱😱😱😱😱😡😡😡
Pole....umeunguza nini....lazima ilie hivo ili hata wale wanolalaka pono waamke....:dance:
 
jamani mtoto wa bosi huku lindoni ananiangalia kwa macho ya kurembua sasa sijui kamenipenda, kananionea huruma au ndo dharau in disguise!?, nisaidieni cc King'asti
 
Jf bwana kuna watu wamefungua kauzi kama haka sehem,wanajitahidi sana kushindana na hiki kitimu cha popo team,haya kazi kwenu
 
Back
Top Bottom