Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Hodi hodi
utaweza?
Hodi hodi
Naomba maji tu leo natumia dose mama mwenye nyumba
Huyo mpe kahawa,akate usingizi kwanza
Ole wao waugeuzao usiku kwa mchana na mchana kuwa usiku
utaweza?
ya special au ordinary?
Karibu mgeni,jisikie uko nyumbani eeh...nkuletee kinywaji gan?
kunyonya huku tumefumba macho
sasa leo una plan gani mkuu?
Ole wao waugeuzao usiku kwa mchana na mchana kuwa usiku
wale makamanda lindo mjiandae mda wetu ndo huu tena. Over. Kamanda farkhina Jerrymsigwa, Ngongoseke, Jaliwat amkeni Over.
Ya ordinary yale ya kunyonya huku tumefumba macho
Ole wao waugeuzao usiku kwa mchana na mchana kuwa usiku
wale makamanda lindo mjiandae mda wetu ndo huu tena. Over. Kamanda farkhina Jerrymsigwa, Ngongoseke, Jaliwat amkeni Over.
aah ok,unaamini ni salama kwa afya yako?