Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
njoo mi ntakupikia supu ya pweza shost wangu!cheka basi nkuone!!!Sitaki nimenuna...
njoo mi ntakupikia supu ya pweza shost wangu!cheka basi nkuone!!!Sitaki nimenuna...
njoo mi ntakupikia supu ya pweza shost wangu!cheka basi nkuone!!!
Kabisaaa 🙂love you too best!Nakupenda shoga angu🙂🙂🙂🙂🙂
Na pilipili mbuzi eeeh🙂
Sitaki nimenuna...
mambo mazuri hayo wasema sumu..ukinywa chai hio lazima usinzie kwa utamu 🙂
....thanteee...Apology accepted :grouphug:
utamu + shibeSio kwa shibe
Wewe ukitaka yapungue gesi yaroweke overnight....alafu ukipika weka tangawizi na vyengine upendavyo....yanapungua sana gesi
mimi49 ntakuja giza likitanda uniambie manufaa ya supu ya pweza mwilini..
mimi49 ntakuja giza likitanda uniambie manufaa ya supu ya pweza mwilini..
Hodi hodi
wale makamanda lindo mjiandae mda wetu ndo huu tena. Over. Kamanda farkhina Jerrymsigwa, Ngongoseke, Jaliwat amkeni Over.
Karibu...Hodi hodi
Karibu mgeni,jisikie uko nyumbani eeh...nkuletee kinywaji gan?
sasa leo una plan gani mkuu?Umeona eeh muda bado
He he he karibu mwaya lol
wale makamanda lindo mjiandae mda wetu ndo huu tena. Over. Kamanda farkhina Jerrymsigwa, Ngongoseke, Jaliwat amkeni Over.