Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Last edited by a moderator:
ahsante i believe there is an explanation behind evrrything!mimi49 hiyo signature yako inanikumbusha mbali sana nilishawahi ambiwa 10yrs ago
Usijali ntaleta chai ya maziwa ilokolezwa tangawizi,iliki,mdalasini,karafuu na mchaichai ushushie hizo tambi zako!msalani saa nzima! mwenzko farkhina kesho analeta tambi, jichangechange na wewe ulete hata soda tuyamalize yasifike kwa@bily
Usijali ntaleta chai ya maziwa ilokolezwa tangawizi,iliki,mdalasini,karafuu na mchaichai ushushie hizo tambi zako!
mambo mazuri hayo wasema sumu..ukinywa chai hio lazima usinzie kwa utamu 🙂unatengeneza sumu asee
Halafu wewe nani kakwambia halat kama mimi natumia tishu hapa kuchamba lazima au nitakuwa natembea na najisi!!!Alienda msalani bila tishu za pale kaunta
Nawatazama tu mnavyotoa mapovu!!!Anakutafutia jibu maana namjua huwa hanyamazi subiri jibu hapo hapo laja
mhhh hayo maharagwe yako twayala na nn mpendwa?mi nataka chapati!!naona leo msururu wa kwenda msalani utaongezeka!!!niko napika beans hapa lunch time heheeehView attachment 124706
Halafu wewe nani kakwambia halat kama mimi natumia tishu hapa kuchamba lazima au nitakuwa natembea na najisi!!!
Apology accepted :grouphug:Nilisahau si ww.. nisamehe
jamani wakuu net imekua tabu sana kwangu dah ntafukuzwa kazi kwa stahili hii hadi sasa mambo magumu sana farkhina mbona unanipa maharage jaman wakati nimeona kitamu hapa juu.
mhhh hayo maharagwe yako twayala na nn mpendwa?mi nataka chapati!!naona leo msururu wa kwenda msalani utaongezeka!!!
labda kama ana njia ya kuondoa gesi!@farkhina naomba upishi wa maharagwe kweli lile jukwaa letu kule
unatengeneza sumu asee
Khaaaa Jerrymsigwa waninyima mandondo��
Za asbh bi farkhina? Mie ndio mid night sasa tukutane panapo majaliwa asbh✋✋✋