King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Leo tunapika nini farkhina? Jerrymsigwa ataosha vyombo
Last edited by a moderator:
Leo tunapika nini farkhina? Jerrymsigwa ataosha vyombo
i miss youKaribu.....
Mi nilikuwa msalani!!
Leo tunapika nini farkhina? Jerrymsigwa ataosha vyombo
i miss you
Utapiga wangapi....hili jeshi humu siyo la mtu mmoja....
Zaidi we jiunge tu kwa usalama wako TEAM popo
shart masufuria yawe na ukoko please :smile-big:
Shoga angu leo tambi tupike...wewe pika chai ile ya viungo...
Asokula tambi aseme kabisaa apikiwe anachokipenda...
Wivu huo..kisa najua kuyarudi mangoma...
Unafikiri sikukuona juzi ulivyokuwa unanikodolea macho nikiserebuka
Ndio hicho nachokupendea mdogo wangu kwa kunipendelea,wajua jinsi gani napenda tambi voooo
mimi49 hiyo signature yako inanikumbusha mbali sana nilishawahi ambiwa 10yrs ago
Shoga angu leo tambi tupike...wewe pika chai ile ya viungo...
Asokula tambi aseme kabisaa apikiwe anachokipenda...
Mi nilikuwa msalani!!
Nilisema muda simrefu mchina atakata chaji tu,haya kwisha kazi simu gani mpaka ina oven!!!
kumbe ulikuwepo!. kazi nzuri mlinzi haitakiwi ujianike inatakiwa ujifiche kidogo usije ukuwa easy targetAah Mimi mbona nlikuwa nakucheki wakati umepita na Phoenix yako?
kumbe ulikuwepo!. kazi nzuri mlinzi haitakiwi ujianike inatakiwa ujifiche kidogo usije ukuwa easy target