Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
niwaage wapendwa, tutakutana tena asubuhi byeeeee
Wee unaijua Tum Hi Ho ww leo niko kihindi zaidi...
Namaste patner...
Jerrymsigwa itabidi tuitishe kikao cha dharura hapa kuna wanachama wanatakiwa kuvuliwa uanachama wao wamekuwa watoro sana hapa,mmoja wao@rugebwe78 hata huyu@bily anachungulia tu siku hizi
utakapo kuwa unaleta vifaa naomba uje na tambi. naweza fikiria kukusamehe. usisahau mchuziAhahahahaha nipo nlikua nakuona pale wapita sikutaka kukushtua..
nimepita patrol nimekuta walinzi wote hampo. kesho naomba magwanda yangu na magobore yangu. muende mtaani mkalale vizuri. Ngongoseke, farkhina , mimi49 na Jawilat.
Sema kweli hukuwa msalani,nimekuona kabisa unapotoka bisha nikuumbue
Alienda msalani bila tishu za pale kaunta
Ngongoseke nakuachia lindo. ila hakikisha nyama za kusaga zinapikwa na chai ya maziwa inachemshwa.cc King'asti
Wee unaijua Tum Hi Ho ww leo niko kihindi zaidi...
Namaste patner...
msalani saa nzima! mwenzko farkhina kesho analeta tambi, jichangechange na wewe ulete hata soda tuyamalize yasifike kwa@bily
My dear nlikuwa ninayo audio yake tu....asante
Kumbe na wewe huku upo...
My dear nlikuwa ninayo audio yake tu....asante
Kumbe na wewe huku upo...
Hahahaha lol...mie ndio mwenyewe...
My dear nlikuwa ninayo audio yake tu....asante
Kumbe na wewe huku upo...
Waaaoh basi mie saa hzi pole pole na B4U music naserebuka nao japo kihindi sikijui lol
Hebu ntajie list ya unazopenda...