farkhina eeeh!njoo nikunong'oneze jambo...
Abee...nakuja shoga angu....
Last edited by a moderator:
farkhina eeeh!njoo nikunong'oneze jambo...
Wamekagulia wapi mbona mie nipo sijawaona....au walipita wakati niko bussy na mchirikuWewe nawe waniabisha jamaa wamekuja kukagua lindo umelala tu,hii kazi ikiisha utarudi peke yako ikwiriri mimi mjini sihami vooo
wee kweli?tutaonana badae leo ndio namalizia kreti langu la banana...
nimepita patrol nimekuta walinzi wote hampo. kesho naomba magwanda yangu na magobore yangu. muende mtaani mkalale vizuri. Ngongoseke, farkhina , mimi49 na Jawilat.
nimepita patrol nimekuta walinzi wote hampo. kesho naomba magwanda yangu na magobore yangu. muende mtaani mkalale vizuri. Ngongoseke, farkhina , mimi49 na Jawilat.
Eeeh nikabidhi mie gwanda la@jerrymsigwa
Niko na rungu langu na mkuki..
Wamekagulia wapi mbona mie nipo sijawaona....au walipita wakati niko bussy na mchiriku
Hiyo simu yako ya mchina mpaka ikiisha chaji ndio utakaa lindoni,simu ina spika 4 ?
Tatizo lako wewe huchelewi kusinzia lindoni,
Hiyo simu yako ya mchina mpaka ikiisha chaji ndio utakaa lindoni,simu ina spika 4 ?
Hahahaha hiyo simu ni disco kamili...
HahAhaaaa jamani mie j2 si nilisasambura hapa mpaka majogoo na chupa yangu ya Dompo...eeeh wapi Jerrymsigwa aje hapa kuthibitisha kauli yangu
Shosti ukiranja wa humu unakufaa...kila nkikatiza upo...
Salama lakini
hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nimepita patrol nimekuta walinzi wote hampo. kesho naomba magwanda yangu na magobore yangu. muende mtaani mkalale vizuri. Ngongoseke, farkhina , mimi49 na Jawilat.