Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Hahahaha....hata na mie nnae mgeni mwenyeji lol....sikuchokozi😛😛😛😛
Huyo mgeni wa usiku ndio analeta mashaka
Hahahaha....hata na mie nnae mgeni mwenyeji lol....sikuchokozi😛😛😛😛
Ha ha ha una visa wewe ulitumwa ule chabo???
he he he siku nyingine uyafumbe ehhh!Haya macho bwana yanavituko sana sio mimi
mi mwenyewe nilipiga banana aisee kope zilikua zinahang kama nguo kwenye kamba..
Huyo mgeni wa usiku ndio analeta mashaka
Wewe acha kabisa nlikuwa nakodoa mijicho hapa nkuone watokea wapi vile,juzi ule mduara mwenzio sijalala nawaza lile sasambua lako tu,
Naandaa mimi49 lete kiberiti na mafuta....
Mkuu upo?
wee kweli?tutaonana badae leo ndio namalizia kreti langu la banana...
nimepita patrol nimekuta walinzi wote hampo. kesho naomba magwanda yangu na magobore yangu. muende mtaani mkalale vizuri. Ngongoseke, farkhina , mimi49 na Jawilat.
haya wakuu muda wetu ndo umefika tena farkhina , Ngongoseke, Jerrymsigwa na Jawilat twendene sambamba jamani tulisongeshe.
Sasambuo lile mpaka chini....alafu yule alokua akiruka ruka watu waenda mbele yeye anarudi nyuma ni mie....meingia ngoma si yangu😉😉😉😉😱😱😱😱😱😱
Ngongoseke Kwi kwi kwi majungu hayo....leo nimekuja bolingo lol...Kuna watu walikesha na mduara na taarab,hawa kama hawajafukuzwa kazi yangu macho,