Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Mwenzangu ile uliniacha hoi. Sijaskia vitumbua vya kuku asilani.

lazma iwe bab nene. Watu wenyewe wanaolinda wameenda vidato, sio kina Da Sophy. Mlinzi ana ipad na hatumii radio vall, galaxy note 3 inamhusu.

Mimi hapa na tenco tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Red Giant kimbia huku kwetu ndio usiku 2nalala sasa ucku wenu bongo kwetu day ila usiogope twaweza enda sambamba.

mi kilaza kweli!. nimeshindwa kusoma location kwenye profile yako!?. ngoja nidozi huu ni uzi wa watu wwa mbele.
 
Last edited by a moderator:
Wengine mmeamkaje hapa? Jana yaliyonikuta ikabidi ntafute tu usingizi kwa udi na uvumbi...ila naona walinzi jana mlijitahidi,,,,
 
Wengine mmeamkaje hapa? Jana yaliyonikuta ikabidi ntafute tu usingizi kwa udi na uvumbi...ila naona walinzi jana mlijitahidi,,,,

mi mwenyewe nilipiga banana aisee kope zilikua zinahang kama nguo kwenye kamba..
 
Back
Top Bottom