Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Kipaji Halisi umeshalala?
Last edited by a moderator:
Na bado nakwambia!!!😱😱:what::what:😕
ha ha ha umekula zetu kisha zako wala peke yako mweee...halafu mbona unachovya kwenye ketchup?Weee simpi mtu zenu mmeninyima🙄🙄🙄🙄
Haya bana....uko poa lakini
Na bado nakwambia!!!
Mwenyez Mungu mkuu napumua vzr kbs! Kesho j3 wajua?
Jerrymsigwa mambo ya week end hayo simuoni@rugebwe78 wala bilyMinaskiza zangu muziki wa Jamaica aaagh raha night inakata taratiiibu
Ha ha ha loh haya bana!usiku mwema basi 🙁Huna lolote nakuona unavyorembua hiyo mimacho,umelazimishwa kukesha? Hii fani inawenyewe mwachie farkhina tu
Na movie haijaisha mwenyeji keishalala..Kipaji Halisi umeshalala?
Jerrymsigwa mambo ya week end hayo simuoni@rugebwe78 wala bily
Huyu Nambe ni mjanja duh! Ana act yupo kumbe kapiga usingiz na asbh akikurupuka anaanza kuweka comment as if alikuwepo
billy yupo kwenye yale mataa yanabadilika rangi....Hao ni part timers wako wanaota tu saivi
ha ha ha umekula zetu kisha zako wala peke yako mweee...halafu mbona unachovya kwenye ketchup?
Hahahahaha washalala...
Na movie haijaisha mwenyeji keishalala..
Hebu nielekee kunako mduara mie...