Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Poa kbs leo nimeota vby vby
nisimulie basii umeota nini?
Poa kbs leo nimeota vby vby
Halafu wewe una miadi ya kiswahili kweli!!Hahaha you are so honest lol
Ulisali kabla ya kulala lakini Jerrymsigwa?
pole....ukumbuke leo....kwani uliota nini?Dah nlisahau
Sina hata1 shost wangu
Hahaha you are so honest lol
Shosti jana ilikuaje?
Aaah..chezea mduara weye
Dah nlisahau
Hahahaha ulilala kiuno chaumaaa...
Wacha kabisa hiyo mambo..hivi hawa wengine vp leo? Mbona wamekimbia kijiwe
Tafuta lile bomba letu waite tucheze taarabu sie...
mi nshawadia... farkhina bado watengeneza chatne ya vitumbua vya kuku?
Yupo kule mmu kaganda,nimeshtua lakin kanipandishia vioo nakwambia
Hahahahhahaha ha ha farkhina acha kuweka tinted....vibaya hivo :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: