Popcorn....zilinilevya...rimoti ilikua juu ya TV
Hahahahaha mie nlifkiri uleweka kwa mfuko kama simu....
Popcorn....zilinilevya...rimoti ilikua juu ya TV
Mwenzangu ile uliniacha hoi. Sijaskia vitumbua vya kuku asilani.
lazma iwe bab nene. Watu wenyewe wanaolinda wameenda vidato, sio kina Da Sophy. Mlinzi ana ipad na hatumii radio vall, galaxy note 3 inamhusu.
Ha ha haaa wanaokesha hapa tuko singo wote bana
Hahahhahahaah thi kweli🙄🙄🙄.....wengine kila siku tuna wageni
Hahahahaha mie nlifkiri uleweka kwa mfuko kama simu....
Mkuu nakutafuta naomba tuwasilianeLeo nimeaanda dawa za mbu za kutosha ..ya kupuliza...ya kuchoma...hadi ya kupaka...we@farkhina andaa moto Wa kutolea baridi
Me so like you.....Nipo singleakhuu mi naogopa ugomvi nasubiria nipate wangu humuhumu..
Wageni? Unanichokoza wewe wajua
Leo nimeaanda dawa za mbu za kutosha ..ya kupuliza...ya kuchoma...hadi ya kupaka...we@farkhina andaa moto Wa kutolea baridi
Kunataka kulipuliwe nn huku?Naandaa mimi49 lete kiberiti na mafuta....
Kunataka kulipuliwe nn huku?
Kunataka kulipuliwe nn huku?
Olala mamma mia!!!! Kisa nini?halafu upo standby ulikuwa ukinisubiri nini?Kila nikikuona roho yanlipuka vooo!!!@mimi49
Ehhh na hili joto la darisalama ni tutakuwa tunajigrill kama kwenye oven! Haya nimekuletea kiberiti cha gas na mafuta ya taa!Nataka kuwasha moto leo wa kukesha tupunguze baridi...
Ehhh na hili joto la darisalama ni tutakuwa tunajigrill kama kwenye oven! Haya nimekuletea kiberiti cha gas na mafuta ya taa!
Olala mamma mia!!!! Kisa nini?halafu upo standby ulikuwa ukinisubiri nini?
Ha ha ha una visa wewe ulitumwa ule chabo???Wewe acha kabisa nlikuwa nakodoa mijicho hapa nkuone watokea wapi vile,juzi ule mduara mwenzio sijalala nawaza lile sasambua lako tu,