Huyu mlinzi mwenzangu@farkhina hichi kibarua hana muda atakufukuzwa,maana kila siku anasinzia lindoni
Tunaruhusiwa kusinzia mara moja moja...
Huyu mlinzi mwenzangu@farkhina hichi kibarua hana muda atakufukuzwa,maana kila siku anasinzia lindoni
Tunaruhusiwa kusinzia mara moja moja...
Wasiwasi wangu usije fukuzwa kazi tu
Tunaruhusiwa kusinzia mara moja moja...
Mbn unamtisha mwenzio
Ajira mkuu zimekuwa tabu na mimi nahuyu tumetoka wote masasi kuja hapa ikwiriri tukapata kazi ya ulinzi sasa ndio maana msiba na ndugu
Tunaruhusiwa kusinzia mara moja moja...
si unaona kama mimi sa hiv muda wa majambazi ndo nakuwa makini..
Tunaruhusiwa kusinzia mara moja moja...
mmmmmmmmmmhh mlinzi anaenda na iPad kazini
mmmmmmmmmmhh mlinzi anaenda na iPad kazini
Cctv ziko digital. Nani alikuambia tunalinda na gobore?
Wasiwasi wangu usije fukuzwa kazi tu
Mapema hivyo.. jaman
si unaona kama mimi sa hiv muda wa majambazi ndo nakuwa makini..
Shhhhhhhh nyamazeni kidogo jaman nasikia footsteps nje..
Tupike vitumbua vituweke busy shostingo
Hahahaha jana muweka movie ukalala wenzio wanatizama...wakataka part 2 rimoti sijui uliiweka wapi...
Hhhahha vya kuku?
Hiyo kampuni lazima iwe baabkubwa