Eti Ukitaka Usilale Unywe Nini, Mimi Ni Mkeshaji Sipendi Kulala
Nasikia kahawa... ila mie hata ninywe chupa nzima nalala kama kawaida...
Eti Ukitaka Usilale Unywe Nini, Mimi Ni Mkeshaji Sipendi Kulala
Nasikia kahawa... ila mie hata ninywe chupa nzima nalala kama kawaida...
Wapi hapo watu wasolala?Hapa kwetu leo baridi iko 14c kuna ukungu huoni hata mita 20 mbele,police wa dharura wameshaingia mitaani,kama una gari basi speed isizidi 20kph
Hapa kwetu leo baridi iko 14c kuna ukungu huoni hata mita 20 mbele,police wa dharura wameshaingia mitaani,kama una gari basi speed isizidi 20kph
mduara mbona umepooza lambwa lambwa lambwatika....
Maharage yapo jikoni umeshaweka wangojea sukari ya bwana haijafika,Hahahha leo umekomaa na jf mimi49
Poleni sana...
huku kwetu mwanga watoka 1hr tu then kizaaa!Nakwambia imebidi nipaki Phoenix yangu pembeni nisije kuleta balaa,
farkhina unalalaga saa ngapi!?. au hauko bongo?
huku kwetu mwanga watoka 1hr tu then kizaaa!
mi kilaza kweli!. nimeshindwa kusoma location kwenye profile yako!?. ngoja nidozi huu ni uzi wa watu wwa mbele.Nipo bongo....nakesha tu kwa raha zang!/u
mi kilaza kweli!. nimeshindwa kusoma location kwenye profile yako!?. ngoja nidozi huu ni uzi wa watu wwa mbele.
mi kilaza kweli!. nimeshindwa kusoma location kwenye profile yako!?. ngoja nidozi huu ni uzi wa watu wwa mbele.
Ahahahahhah hebu amka uko...
Duh nlijua mmeshaacha malindo wazi kumbe mpo
Mkuu tupo, but leo niko busy ntakuwa nakuja kuwapa hi kdg kdg till asbh