Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

jamani ee, habari zenu! ndo mmenikomesha siku hizi mbili lol! yaani si utani, usingiz wenu wote mnaokesha umehamia kwangu! du! huu ni balaa tena si usingz.
Karibu tena tuendeleze gurudumu la mkesha!!
 
Jamani haya maji yanatoka lini? Mbona imekua shida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom