LJT chacha
Member
- Sep 18, 2016
- 5
- 2
Live CNNKama kawa,mwanzo mwenga
Live CNNKama kawa,mwanzo mwenga
Dah thread ya kitambo Sana.. Hongereni sn wadau
KaribuTeam popooooo
Karibu
Leta gahwa hiyoMshalala? Au tulete gahwa?
Kaka billy shkamoo
Umejamba nini...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sijui atakuja au ndiyo kanidanganya!! Saa 7 sasa. Ngoja nijipe moyo. Na nilivyompania
Marahaba kwema hapo ? Kitambo Sana bt. Miss you.