Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

tupo macho farhina ,mbona hatuonani siku hizi?njoo pm bhanaaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Saa 7 anakuja kuwanga!!?
Hiyo ndo ushapgwa kalenda
Watoto wa gate kali lazima wazazi walale. Alikuja nikatimiza haja yangu. Na leo kaniahidi mda huo huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji14]
 
Watoto wa gate kali lazima wazazi walale. Alikuja nikatimiza haja yangu. Na leo kaniahidi mda huo huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji14]
Haaaaa
Mkuu siamini kwa time ile asee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo akija mpige picha
 
  • Thanks
Reactions: jmi
Haaaaa
Mkuu siamini kwa time ile asee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo akija mpige picha
[emoji106] [emoji106]
Yes kanitumia sms nimfuate
Daa mm sijalala hadi sasa nasubilia kitundu. Wewe mwenzangu vipi!!
 
[emoji106] [emoji106]
Yes kanitumia sms nimfuate
Daa mm sijalala hadi sasa nasubilia kitundu. Wewe mwenzangu vipi!!
Mi mwenzio ni popo tuu najikutaga hata with no reason nalala sa kumi
Hahaha
Wewe endelea kusubiri tobo dundo
 
  • Thanks
Reactions: jmi

Similar Discussions

Back
Top Bottom