03:403:33
Daah03:40
Nasubiria mdhahalo!
Uzuri ni kwamba mtu yeyote anaweza kuangalia kwa sababu hata ITV wanaonyesha!Daah
Huu mdahalo wa leo!!! Shdaa
HaaaUzuri ni kwamba mtu yeyote anaweza kuangalia kwa sababu hata ITV wanaonyesha!
Uzuri ni kwamba mtu yeyote anaweza kuangalia kwa sababu hata ITV wanaonyesha!
Haaa
Hadi ITV!!!
Tumewapa umaarufu US daaah!!
Hatujawapa USA umaarufu mkuu,imetokea tu accidentally kwa sababu usiku ITV huwa inajiunga na CNN kila siku!Haaa
Hadi ITV!!!
Tumewapa umaarufu US daaah!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !Popo wa jf
AnhaaaHatujawapa USA umaarufu,imetokea tu accidentally kwa sababu usiku ITV huwa inajiunga na CNN kila siku!
Maswali ya kichokozi sipendi![emoji1]Mkuu huna wife
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu huna wife
Kwa nini mkuu?....CNN wako bias?Anhaaa
Aaaa kama CNN siangaliii
Hao hawanifai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huuu ni uchochezi kwa kweli
EeehKwa nini mkuu?....CNN wako bias?
[emoji1] ngoja nikacheki sheria ya makosa ya mitandao kama inaweza kunisaidia hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani Russia Today wataonyesha live mkuu?Eeeh
Ntachekia Russia Today
Clinton News Network staki
[emoji1] ngoja nikacheki sheria ya makosa ya mitandao kama inaweza kunisaidia hapa