excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
Mishe mishe tu ndugu yangu.
nialike basi wangu tupige mishe hizo!!... au vp vale?
nistue nikwee pipa fasta kuja A town,...
Mishe mishe tu ndugu yangu.
nialike basi wangu tupige mishe hizo!!... au vp vale?
nistue nikwee pipa fasta kuja A town,...
Hahaaa kama uko tayari kuuza sembe we njoo tu
niko tayari kuiuza.... we nipe scheduling nipande air force 2 kwenda dubai na macau
Mmmhh!!
mama nimegusa penyewe ama vipi?
ndio lakin hii thread ilianzishwa usiku
Busy watching game mkuu
Sent from Mchina
mkuu upo. karibu unywe mkangafu.Busy watching game mkuu
Sent from Mchina
ni ulanzi uliokaa muda mrefu na kuwa mkali.mkuu ndo kinywaji gani hicho ?
Vipi mkuu timu yako imeshinda au ? Au we galatasary .
Mi nilikua kule uwani nafagia