Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
anyone online???...
Kwemaaa
anyone online???...
Ushamaliza au bado
Ndo namalizia kuzoa taka
huko kwenu saa ngapi ?
Dah yaani usingizi hata hauji leo.nimekuwa na siku mbaya kweli.
Mi nina,majanga all over..simba kapakatwa,asernal kapigwa kama mwizi huku madrid nao ndoivo nikikumbuka hotuba ya jk kule dodoma,ndo napata jinamizi kabisaaaaa....aaagh ngoja niokoke tu
Tupo pamoja mkuu...Mi ongeza na joto la kufa mtu..nipo Mozambique nacala porto fikiria mvua inanyesha nje lkn kuna fukuto la kufa mtu...wacha nikajiloweke
Mi nina,majanga all over..simba kapakatwa,asernal kapigwa kama mwizi huku madrid nao ndoivo nikikumbuka hotuba ya jk kule dodoma,ndo napata jinamizi kabisaaaaa....aaagh ngoja niokoke tu
Hahaha poleni dah kila angle imekuwa mbaya kuanzia hotuba ya Jk, kalenga,aseno, R mdrid dah poleni kwa kweli
Sent from Nokla using Jf app
Mi nina,majanga all over..simba kapakatwa,asernal kapigwa kama mwizi huku madrid nao ndoivo nikikumbuka hotuba ya jk kule dodoma,ndo napata jinamizi kabisaaaaa....aaagh ngoja niokoke tu
duh pole mkuu mimi ilikuwa ni kipigo cha madrid, hotuba ya jk na kuna samaki watatu walikufa wakufuga dah hao ndo wameniuma zaidi so nw nimebaki no 7 tu out of ten,dah yaani roho imeuma sana tena walikuwa red,2 na gold fish mmoja
ahsante mwaya,jk alisema alipigilia msumari kwamba katiba inayotakiwa na serikali yake iwe na mundo wa serikali mbili tofauti na maoni ya wanachi yaliyokusanywa na jaji warioba waliopendekeza serikali tatu natumia simu sasa ila muda si mrefu nitakuwekea link ya hotuba zote mbilipole sana kwa kufiwa na samaki, kwani jk aliongea nini maana wengne sie huwa hatujui kinachoendelea duniani
ahsante mwaya,jk alisema alipigilia msumari kwamba katiba inayotakiwa na serikali yake iwe na mundo wa serikali mbili tofauti na maoni ya wanachi yaliyokusanywa na jaji warioba waliopendekeza serikali tatu natumia simu sasa ila muda si mrefu nitakuwekea link ya hotuba zote mbili
hotuba ya jk link hii hapaok asante