Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Hata mie nipo macho
Hata mie nipo macho
Zile Ngoma za voda niliuza,nikahama kabisa pale nachingwea,nikahamia kisarawe nikafungua biashara ya kuuza sembe la azam,mambo yalipokaa sawa nikaenda feri kuzamia kitu cha mgiriki wiki 3 kitu kinaunguruma nikajua nishafika kwa madiba,hee kumbe kitu kigamboni hiyo,ndio hivyo nimefungua genge tu hapa siku zasonga
mbona umelala sasa...ohhh story...njooo sasaa:biggrin1:
Mmh kweli?
nijeamka tayari
heheeh akuna kitu apa..imekula kwangu..jua kali hilooo
ngoja nikazisake:thinking:
ukirudi niite nije kukuhesabia
ntarudi mida yetuuu ileee, uwe umetupia ki naiti dress cha michirizi:biggrin1:
ahahaaaaaaaaaaaah -sawa am waiting
mtsotsooo,,,,upoooo amka bathiii jamani tupeane joto sa iz
usinisumbue hebu lala hukoo
jamaniii ,,,kanjubari wa moyo wangu..chachangu ya muhogo wanguu,,pilipilii ya wahawasha languuu
amka bathiii kidogo japo nikupe usingizi mziiito wenye kijasho chembambaa:wink2:
ahahaaaaaaaaaaaaaaa.... nibembeleze vizuri nitaamka