Nani yuko macho tuchangamshe jamvi?

Nani yuko macho tuchangamshe jamvi?

Nyie ambao hamjalala niwaulize :
Kama wewe ni Mwanamke na umepata Mwanaume na ukampenda kwa mambo kadhaa , lakini ikawa unamzidi kimo , sio umri.
Wewe ni mrefu, mkisimama anakufika kifuani
vipi utamuafiki ?
Na incase wewe ni Mwanaume uwe ndiyo huyo nyadundo (kisheta) mdada ana vigezo uvipendavyo lakini ukisimama kuongea nae ni kama unaangalia Nazi juu ya Mnazi utamuafiki ?

ndugu wee urefu wa mwili c utam wa mapenz..kama unampenda ama anakupenda,hata kama ana 30cm uref poa tu,especial mkiwa mjuz mambo flan! I min ze same na mnaridhishana..dont c a problem on that.
 
Nyie ambao hamjalala niwaulize :
Kama wewe ni Mwanamke na umepata Mwanaume na ukampenda kwa mambo kadhaa , lakini ikawa unamzidi kimo , sio umri.
Wewe ni mrefu, mkisimama anakufika kifuani
vipi utamuafiki ?
Na incase wewe ni Mwanaume uwe ndiyo huyo nyadundo (kisheta) mdada ana vigezo uvipendavyo lakini ukisimama kuongea nae ni kama unaangalia Nazi juu ya Mnazi utamuafiki ?

Ni wa fashion show tu au?? If yes sitamuafiki....if no, vigezo na masharti kuzingatiwa kwanza!!!
 
Jamani kwani kesho ni Public holiday? Tulale kesho tuwahi kujenga uchumi wa Taifa.

Uchumi wenyewe uko wapi? We kapigike wenzio wanasosomola kilainiiiiii. Usidhani hata tunakosa usingizi tunapenda, tunawaza madeni. M'k'w'e'l'e noma kweli!
 
Jamani hebu laleni sasa,ona mlivyonpigia kelele hadi nimeamka! Mmevruga ucngz wng vibaka nyinyi! Ucku kucha hamchoki?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom