BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Napita tu hapa
hakuna njia huko mbele...
Napita tu hapa
Amkeni jamani.
habari yako mkuu.
Unaenda wapi??
hakuna njia huko mbele...
ipo napita pale pale kwenye michongoma
hebu lala ww lol.
Arsena wanataka kutengeneza historia, ila sub walizofanya ndo kaharibu?!
Nawaona AC M wanavyombwela mbwela tu uwanjani, dah!!
michongoma ina miba si unafahamu...
au huogopi kuchomwa amiii??
nimechomwa na miba mikali na mibichi sembuse hiyo mikavu akha kwaheri
Pamoja na kumbwela kwao ndiyo
haaoooooooo!
Wame go through, hivyo vitoto vya Highbury vilitakiwa viongeze bao moko tu, kwa agregate ingekua ngoma draw yaani 4 - 4 , pute lingeenda extratime , so game imeisha Ac 4 vitoto 3, mizee imesonga mbele.
tobah...kwaheri kweli...
ntakutegea mwiba wa katani...ole wako!
Badilisheni story, hii ya mpira kuna wenyewe wenye team , itakua inamizingua !
nitakutoa no count aibu yako,bye bwana shem wako anahitaji