Nani yuko macho tuchangamshe jamvi?

Are you serious? ngoja nirudi kitandani
nimekuja haraka kumbe nyinyi hata hamjapanga chochote?
 
Mi nipo macho ila nacheki game la Arsenal na AC, Ka mpenzi wa mpira fanya iwe mada!?
 
usiku raha bana...mambo yanaenda...jamvi halina kahawa asee...tunasinzia...
af kuna mbu wakubwa km nyuki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom