Nani wako kwenye msafara wa Rais Dubai? Au kuna sura tunafichwa tusijue uhusiano wao?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo. Nitashangaa kama Kikwete au Makonda. hawamo japo hawawezi kuwamo wote kwa pamoja. Nimepitia magazeti ya chama na serikali sijapata hii kitu. Kunani?
Yangu ni hayo tu.
 
Mnajitahidi sana kupotosha mambo, hongereni. Ila siku zote dua la kuku...
 
Wewe mbulula Acha ku recycle upupu tayari umeshajadiliwa
Modz unga hii kenge na mbritanya
 
Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo. Nitashangaa kama Kikwete au Makonda. hawamo japo hawawezi kuwamo wote kwa pamoja. Nimepitia magazeti ya chama na serikali sijapata hii kitu. Kunani?
Yangu ni hayo tu.
Mbweha huambatana na mbweha wenzake!
 
mtoa post na ww ni life moja au ukute mtoa post anakula panono ila ww upo kutakatisha wafuja mali za nchi
Ujinga ni mzigo
Kama ulituona. Sina shida wala si chawa na nakula na kushiba na nina future ya uhakika
 
Huwezi kuwa muuaji wa watu wako, halafu ukaweka wazi mambo yako kwa watu unaowaua na kuwadhulumu haki zako.

Huyu atabakia hivyo hivyo, mtu wa kujifichaficha. Hata aendako, usitarajie atakuwa kwenye mazingira wazi, atajificha kwa kila anayefikiria atamwuliza, kwa nini unaua watu wako. Shetani siku zote hufanya kazi katika uficho, ndiyo maana anaitwa mfalme wa giza.
 
Na wachawi wotw wako hivyo.
 
Ujinga ni kila kitu kuona makosa.... Akikaa ndani kajificha, akisafiri maneno mmekua kama wake wenza kulilia mpini kila siku
 
Ni kweli. Kwa machawa kuona makosa bila kusifia ni makosa. Ni kweli pia tumekuwa kama wake wenza wa kisiasa jambo ambalo ni heri na afya kwa taifa. Umeelewa eeeh?
 
Heri gani kila kitu ni nongwa dada angu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom