Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Humphrey Polepole anafaa URAIS maana kwanza anajiamini haogopi kukosoa na ana mipango mizuri sana ya Maendeleo(isiyotegemea misaada ya Hovyo),

Akituongoza huyu Naamini tutafika mbali.
 
Inawezekanaje? Akakosekana msafi kwenye kijani?
Hawezi kutoka msafi huko. Ukiona anapiga sana kelele jua kuwa hayuko mezani. Wote Hao Akina mtaka sijui Mpina ni Sababu hawako mezani but wote Wezi from bottom Up.
Mara Mia tumfufue Gengeskan au Mussolin lakini sio mtu WA KIJANI.
Mbowe Ana kaliba ya Uongozi Sema naye ni mtu WA madili.
Mbatia pia ila. Yule njaa sana.
January/mabendera/riz1 na the likes hawatakiwi kusogelea hata njia ya kuelekea ikulu.
Inshort hii nchi imeshindwa kitambo sana kutengeneza viongozi kama wenzetu wanavyowatengeneza pale Yale Uni.
 
Hawezi kutoka msafi huko. Ukiona anapiga sana kelele jua kuwa hayuko mezani. Wote Hao Akina mtaka sijui Mpina ni Sababu hawako mezani but wote Wezi from bottom Up.
Mara Mia tumfufue Gengeskan au Mussolin lakini sio mtu WA KIJANI.
Mbowe Ana kaliba ya Uongozi Sema naye ni mtu WA madili.
Mbatia pia ila. Yule njaa sana.
January/mabendera/riz1 na the likes hawatakiwi kusogelea hata njia ya kuelekea ikulu.
Inshort hii nchi imeshindwa kitambo sana kutengeneza viongozi kama wenzetu wanavyowatengeneza pale Yale Uni.

So unamaanisha hatuwezi pata kiongozi mzuri ndani ya nchi hii kama hatuwezi sawa kama tunaweza mtaje!! Direct tuone pendekezo lako

Tunahitaji kiongozi na sio chama chochote
 
Masoud kipanya

tuone Kama atajichora lakini nahisi anafaa ata kua pm
 
Ajaye ni.............,mchakato wa kumpata hauko hivyo.
 
Majaliwa sio kwamba ni muoga ila mfumo unambana kwa nafasi yake yaani ni kama anatengenezewa mazingira awe hivi tunavyo muona.
But believe me, Majaliwa anauwezo mkubwa wa kuongoza hii nchi.
Hii nchi kwa ilipofika haitaki kiongozi lelemama inataka kiongozi ambaye atasimama kama kiongozi kweli regardless dunia itamtazama kama dictator or not .
Most ya nchi nyingi za Afrika mfumo wa kuongoza ulio bora ni udikteta mambo ya demokrasia ni uongo na kuendeleza umaskini
Anweza Cassimu majaliwa,naright angekuwepo magufuli ningemtaja,naamini viongozi wenye mtazamo wa udicteta ndio wanaoweza kutufikisha nchi ya ahadi.
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo

Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
———————————————————————————
———————————————————————————


Uzi uliishia hapa, huku chini ni update za mapendekezo ya wengi na wachache waliopendekeza viongozi wazuri wa taifa letu pendwa.

Tuendelee kuwapendekeza

———————————————————————————
———————————————————————————
———————————————————————————




mpaka sasa mapendekezo mengi yanaenda kwa LUHAGA MPINA

Who is MPINA—kamuangalie U-tube video zake akiwa anahunguruma akiwa bungeni

Vipi? Jimboni kwake ananufaisha jamii na wanajamii wake?

LUHAGA MPINA
jamaa hana skendo yeyote huyuu ya upigaji?


Hawa sio official tutawabadilisha wakitokea wengine wanaovutiwa na watu wengi kuwazidi L.MPINA anafatiwa na HAMFREY POLEPOLE tena anafatiwa na TUNDU .A. LISSU

Ila wakwanza ni LUHAGA MPINA— nipo U-tube napapasa taarifa zake huyu mwamba ni mtu kweli jamaa najaribu kutafuta na skendo zake naona kuna maeneo anahusishwa nayo kama kawapora wananchi ngoja nifatilie vizuri

TUENDELEE KUWAPENDEKEZA TUNAOWAAMINI
TL
 
Back
Top Bottom