Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 812
- 1,253
Sukuma gang1. Dr Bashiru
2. Luhanga Mpina
3. Kishimba
4. Polepole
Sukuma gang1. Dr Bashiru
2. Luhanga Mpina
3. Kishimba
4. Polepole
Dr. Bashiru Ally.
Hamphrei Polepole
Luhanga Mpina anatufaa sana.
Tundu Lisu.
Dr. Husein Mwinyi
Hawa Wajitokeze 2025 washindanishwe Kwa hoja kwenye midahalo.
Hatutaki Tena Marais Wa michongo ambao wanalazimishwa bila kushiriki midahalo Ndani ya Vyama na nje ya Vyama.
Mtu atuambie kuwa akiwa Rais Ana maono Gani juu ya Nchi yetu yenye rasilimali nyingi ?
Atawatumiaje wasomi Wa Ndani kuleta kaendeleo.
Anaonaje suala la uninafsishaji Wa Kila Kitu Hata kisichohitaji teknolojia kubwa .
Kwa Nini shirika la Nyumba linafeli wakati wananchi Wana mahitaji makubwa ya makazi?
Kwa Nini mifuko ya jamii imedhoofika na walioidhoofisha ni mabilionea na Bado wananawiri kwenye mashirika hayo na mengine!
Rais ni lazima awe na Maono ambayo amezaliwa na kukua nayo juu ya taifa lake. Kama ni wale Wa kuburuzwa na Chama Kwa manufaa ya kundi la watu Wa Chache basi kamwe hatutatoka Hapa tulipo.
Tutazidi kuiba Kodi za watu na kukopa na kuuza mpaka makazi ya watu Ili aje mgeni kukusanya Kodi ya makazi.
Waliopo wapumzike kabisa Kwa Amani .
Hawana maono juu ya Taifa hili Zaidi ya Kutumia maono ya wageni HUKO China,Ulaya na Uarabuni!!
Kila Taifa Lina Mbeba maono wake . Hatuwezi kumtegemea Mbeba maono Wa China atusaidie sisi wakati ana watu wake.
Mfalme Wa Omaní ni Wa Omaní sio Wa wakazi Wa Loliondo. Loliondo amekuja Ili akawape maisha ya Raha watu wake na SIO wamasai.
Utajiri Wa mamilioni ya Mifugo Kwa wazawa kama Wamasai ,Wagogo,Wasukuma na wamang"ati ,unapuuzwa na kuwaleta wezi Wa wanyama Wetu Wa asili.
Tunataka Rais atakayetuambia kuwa nchi Hii ni ya watanzania Wote WAKULIMA ,Wafugaji,wafanyabiashara na WA wavuvi .
SIO nchi ya Ikulu na mawaziri.
NB:
Akijitokeza MTU asiye na Maono juu ya Taifa hili basi nitakuja na kuchukua fomu nyakati iliyokubalika kuliinua Taifa hili Juu ya Mataifa Yote ya Afrika na kuupoteza uchumi Wa wezi wote Wanaosababisha Watoto Wa Afrika kuteseka kwenye bara Tajiri lililoumbwa na Mwenyezi Mungu.
Jambo la kwanza nitaweka Uraia pacha . Hakuna mgeni asiye na uraia Wa Tanzania atakayepata Ardhi katika nchi Hii .
Kila fursa itatolewa Kwa watanzania wenye asili ya Tanzania popote walipo Kabla ya wageni kufikiriwa.
Demokrasia ni janja janja ya wahuni Wa kimataifa kujipenyeza Afrika na kuchukua Kila Kitu na kuacha nchi ZOTE ziliwa Maskini na watu wake.Majaliwa sio kwamba ni muoga ila mfumo unambana kwa nafasi yake yaani ni kama anatengenezewa mazingira awe hivi tunavyo muona.
But believe me, Majaliwa anauwezo mkubwa wa kuongoza hii nchi.
Hii nchi kwa ilipofika haitaki kiongozi lelemama inataka kiongozi ambaye atasimama kama kiongozi kweli regardless dunia itamtazama kama dictator or not .
Most ya nchi nyingi za Afrika mfumo wa kuongoza ulio bora ni udikteta mambo ya demokrasia ni uongo na kuendeleza umaskini
Mwizi Mkubwa huyo,Narudia tena kuandika, ndani ya ccm anayefaa kuwa rais wa nchi hii ni komredi mwigulu lameck nchemba na katika upinzani ni nguli wa sheria tundu mughwai lissu. Hawa wako hot cake ki uongozi wa nchi zama hizi. Wanazijua vizuri changamoto za nchi hii
Demokrasia ni janja janja ya wahuni Wa kimataifa kujipenyeza Afrika na kuchukua Kila Kitu na kuacha nchi ZOTE ziliwa Maskini na watu wake.
Mfano Falme za Kiarabu , Saudia Arabia, Morocco, Rwanda,China , Urusi n.k hazina Demokrasia ya Magharibi lakini Zina maendeleo makubwa .
Ulaya na Amerika wameendelea kabla ya Demokrasia baada ya kuendesha siasa za kinyama na kibabe Kwa Zaidi ya Karne 20.
Sisi Tunahitaji siasa za kuchagua viongozi basi baada ya uchaguzi ni kazi ya kujenga uchumi tuu.
Rushwa Kwa viongozi Wa umma ni lazima iwe ni jambo baya kama kifo.
Nimesoma comments zote, majina yaliyotawala sana1. Humphrey Polepole
2. Tundu Lissu
Nyani NgabuNdani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli
Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka
Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake
Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote
Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie
Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo
Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
——————————————————————————
Mkuu.....
Kwasasa Tanzania inahitaji Rais anaezijua changamoto zinazolikabili Taifa. Zipo changamoto nyingi sana za kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kiutamaduni.
Na sio lazima Rais awe mwanasiasa, bali mfumo wa Tanzania unamtaka mgombea urais lazima apitie kwenye chama cha siasa hata kama sio mwanasiasa.
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli
Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka
Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake
Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote
Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie
Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo
Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
——————————————————————————