Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

R.I.P MAGUFULI

hakuna kama magufuli, ujinga wa tanzania watakudharau ukiwepo ila ukiondoka utasifiwa, ukweli ni kwamba jamaa alikuwa kweli mkali na ukijaribu kuingia anga zake anakula kichwa wewe hili ndio lilikuwa tatzo lake yaani yeye kukupeleka mbele haoni tatzo ila kinyume na hilo hana tatzo lingine ndio maana nayeye wakampeleka alitoka kabisa kwenye mfumo wa siasa ndio maana alikuwa anafanikiwa Kwa kasi saana na hakika tungekuwa nayeye mpaka sasa hivi tungefika mbali sanaa

Tunatakiwa tupate mtu mkali kama yeye yaani kuvamia kwenye taasisi kubwa kubwa za serikali na kukomesha makosa na kupiga watu chini akigundua makosa yaani haraka sana akigundua kitu akiendi Sawa ameshaenda na kakomesha na mtu ambaye akipata kitu cha uraisi tu anaukataa udemocrasia yaani anapiga chini siasa anaanza kujenga nchi Kwa kuwanufaisha wananchi wake haya mambo ya siasa ndio yanatufelisa inatakiwa ufate siasa 30% na mambo ya nchi 70% sio kinyume chake

Tunataka mtu wa hivyo na sio vyengine Nani? Atatufaa ambaye ajitolee kufa kupona Kwa ajili ya nchi yake ambaye ataona kifo bora kuliko kudhurumiwa chochote katika nchi yake tumeona alijitolea kufa Kwa ajili ya taifa lake na alikiona kifo chake kabla hajafa tunataka mtu wa hivyo yaani asiwe mtu wa kuyumbishwa na upepo yaani mavitu yakitokea huko duniani yeye awe very stable ,
hatuwataki wajinga waliongoze taifa letu tumechoka

Nani? huyoo LUHAGA MPINA au HAMFREY POLEPOLE
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo

Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
——————————————————————————
1. Mimi
2. Hussein Mwinyi
3. John Mnyika
4. Zitto Kabwe
5.
 
Tatizo lake ni upole uyu mzee hii nchi inataka kiongozi mkali anaekemea wakati wote na mfatiliaji hasa
Mpango sio kwamba ni mpole ila ila anatumia kanuni hii ya don't outshine your master kama unakumbumbu kipindi ameapishwa alijisahau akatoa speech moja matata as if yeye ndiye presidaa nafikiri walimuweka kitako na kumpa semina ilekezi ya mipaka ya utendaji wake as vice President .Ila mpango akipewa nchi tusifiri atakuwa kama huyu tunavyo muona mpole ila anafuata beat za muimbishaji ambaye ni samia.
 
Binafsi napenda MTU kwenye msimamo na maono kama alivyokuwa jpm na nafiri 1 Majaliwa 2 polepole 3 Lukuvi 4 Bashiru to my view naona wanafaa
 
Sikuzote wanasema mtunga sheria ndiye mvunja sheria acha tuendelee kuongozwa na mambumbumbu kuliko wasomi maana hapo ndipo tutapigwa mara elfu sabini.
Ulimjuaje ni mtata huyu Mzee balaa
 
Dr. Mwinyi anafaa sana kuwa president sema ndo hivo hatakuwa
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo

Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
——————————————————————————
Wasiwe wachaga lakini
 
Nataka Raisi atakayeshika nchi bila influence ya kundi fulani.

Viongozi wengi wanapigiwa chapuo wakifika kwenye viti wanakosa uhuru wa kimamlaka kuna kundi la watu hata wakiharibu wanakingiwa kifua.

Kiongozi anayengia bila nguvu ya watu fulani fulani yupo huru kufanya hata yale yasiyowezekana kama kuidhinisha mabadiliko ya katiba isiyo na makando kando ya kulinda chama fulani kwenye dola. huyu ndie rais ninae mtaka mimi, ukishaingizwa kwa hisani ya watu fulani kwenye kiti cha urais tayari hayo ni mapungufu, utafungwa na mambo mengi na hutaweza kuchukua maamuzi magumu kweye madudu ya waliokuweka madarakani kwasababu yanagusa maslahi ya walio kuweka kwenye kiti.
 
Diamond plutnamz
Ali kiba
Harmonize

Ila bora awe Marioo...daah!!! Hapana afadhali awe chino , ikishindikana kabisa basi awe Mimi dadeki.
 
Back
Top Bottom