Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

1. Dk. Bashiru
2. Mhe.Luhaga Mpina
3. Prof.Kabudi
4. Balozi Polepole
5. Dk. Mwinyi
6. Prof.Mkenda
7. Natafuta wanawake bado
 
Nakubaliana na wewe Mkuu! Lissu hana sifa za Rais ni takataka kabisa!
Tundu Lissu yupo raha score kariakoo anatema madini muda huu
Nakuhabalisha nikiwa huku Turiani walioko huko mkamsikilize![emoji1787]
 
Darasa la 7,wakati anaendesha biashara ambazo hata wee mwenye degree 5 unashindwa kuziendesha

Ova
Kuna mengi usiyoyajua behind wealth na kuongoza biashara na kuongoza nchi ni vitu viwili tofauti.TAFAKARI
 
Haya mambo ya sijui fulani anafaa
Sijui yule anafaa .....ni uchawa tu nao
Ni kuwapigia debe wengine tu,yawezekana hata wewe unafaa

Ova
 
Musukuma

Nchi itapaa kiuchumi, tutagawana vyakwake
 
Walimu wote Semeni Samiah Suluh Hassan,anawapigania sana ndugu zangu.Usiku na mchana huyu mama aungwe mkono 100%
 
Back
Top Bottom