Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Kupitia Uzi huu nimegundua Tz kuna gape la viongozi,ngoja nijinoe 2045 nichukue Nchi.
Mungu anipe uzima.
 
Nimesoma comments zote, majina yaliyotawala sana

1. Luhaga Mpina

2. Hussein Mwinyi

3. Humphrey Polepole

4. Kassimu Majaliwa

5. Tundu lissu

Tuondelee na hao watano tupate Rais wetu wa Jamii forum
anatakiwa rais anayejua kupangua mikataba feki ya kimataifa inayonyonya nchi
 
Mtaka anafaa tatizo dharau za kijita ndio shida, Luhaga Mpina anafaa ana akili mtambuka, Mwigulu pia anafaa pamoja na madhaifu yake hawezi kukodisha Bandari, lastly Mpango yupo kama sanamu tu
 
Jokate;

Mtoto mkali lipsi za kunyonya mtoto mteke mtoto lain biwibiwi fulu utelez akiongea unapata hamu asinyamaze akitoa agizo lazima utekeleze

Musukuma;

Jamaa mmoja hv hana mambo mengi wala nin lkn ful ukwas kitambo alaf muwazi amefunguka kuwa yey la saba na udaktar wake wa mchongo

Muuza Viat;

Mim hapa mwenyew ktk hili bandiko sijajiweka wa mwanzo ili msijesema mim ni mbinafs
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo

Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
——————————————————————————
Natamani kuwa raisi wa nchi hii,na ndani ya miaka miwili yafuatayo nitakamilisha kwa asilimia 100.

1. Nchi itajitosheleza kwa chakula.

2. Nchi itauza nje kuliko kununua na hasa bidhaa za vyakula.

3. Ajira kwa vijana zitakua 100%,hizi ni zile rasmi na zisizo rasmi,lakini sio bodaboda au umachinga.

4. Bajeti itakua ni 100% hakuna kuomba omba nje.

5. Huduma za afya na elimu zitaboreshwa kikamilifu.

6. Ulaji wa rushwa,hukumu yake ni kifo,na kinaketelezwa siku 30 toka hukumu.,hii inajumuisha na uzembe kazini au miradi chini ya kiwango.

7. Serikali itaaminika na wananchi wake.

8. Ufataji wa katiba utakua 100%, hakuna kitu kiitwacho demokrasia,bali haki itakuwepo.

9. Umeme utakua nusu bei ya sasa,maji nusu bei pia.

10. Dira ya taifa itawekwa,na kila raisi atakayefata baada ya mimi lazima afate hiyo,haijalishi chama chake.

11. Uchaguzi huru na haki utakuwepo.

12. Taasisi zisizoeleweka au zenye utendaji chini ya kiwango zitafutwa,na wahusika kuhukumiwa haraka sana kifungo,ufilisi au kifo.

13. Barabara zote tanzania zitapitika majira yote.

14. Na mengine mengi.

Ndani ya miaka 5 hatutakuwa kama tulivyo.

Tatizo ni moja tu,sina chama chochote.
 
Ccm ina makada wengi wanaoweza kuwa marais ila hufanya surprise kupata mgombea ambaye hatajwi na hafahamiki vizuri hata na chama chao. Majina maarufu huishia kwenye kinying'anyiro tu, unashangaa underground mgombea ainaibuliwa dakika za mwisho

CCM???
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo

Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
——————————————————————————
Ninge mpendekeza Herbalist Doctor MziziMkavu awe ni Raisi wa Tanzania.
 
Swali zuri. Lakini kwa mazingara tuliyo nayo,ni bora ungeuliza nani katika CCM anaweza kuwa rais wa Tanzania?
Ukiwataja watu nje ya CCM itakuwa ni futile exercise.
Katika siasa huwa panakuwepo Taifa la matajiri na Taifa la maskini:rais wa matajiri na rais wa maskini,Republicans na Democrats:Tory na Labour.
Kwa hiyo nani akiwa rais,matajiri wataneemeka? Nani akiwa rais maskini watapata ahueni?
Kwa jinsi rais anavyouza bandari na kuuza Mlima Kilimandjaro,rais ana madaraka makubwa sana: natamani mimi ningekuwa rais.
 
Tungepata mzungu kutoka ujerimani au uholanzi au any Scandinavian countries tungepiga hatua Sana!! Hata mjapan sio mbaya!! Ila sio muafrika!!
 
Mpango anafaa, lakini ni mpole sana mwenye kuongozwa na jazba zaidi.
Mpango akipewa nafasi ya urais, ningumu sana kumaliza hata awamu moja kwasababu atakua hatarini sana kupata mashambulizi ya maradhi ya moyo kwasababu hana uwezo wa kucontrol hasira zake.
Kwa maoni yako nani anaweza kutufaa kama Raisi?

Zamani nilimfikiria January Makamba lakini naona anajisikia sana, baada ya kujiona ni mtoto mpendwa wa vigogo.

Janwari angefaa kama angeacha kujivuna. Mara nyingi mjivuni haambiliki.

Naomba pendekezo lako. Ila asiwe Mzanzibari
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka , maendeleo ya kweli

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030-2035-2040 na kuendelea mda bado upo

Na jaribu kumuelezea uliyempendekeza japo kwa maneno 10 mpaka 30 ukizidisha ni sawa, sifa zake ambazo zimefanya umpendekeze, asante
——————————————————————————
1: Tundulisu 2:Tindulisu 3:Tundulisu 4:Tundulisu 5:Tundulisu 6:Tundulisu
Rais ajae ni Tundulisu
Screenshot_20230704_032756_Google.jpg
 
Nimesoma comments zote, majina yaliyotawala sana

1. Luhaga Mpina

2. Hussein Mwinyi

3. Humphrey Polepole

4. Kassimu Majaliwa

5. Tundu lissu

Tuondelee na hao watano tupate Rais wetu wa Jamii forum
Hapo luhaga Mpina ,majaliwa na Hussein mwinyi tu

Ilaa Raisi wa jamiiforum mpaka sasa ni COMRED LUHAGA MPINA
 
Back
Top Bottom