Kmhakuna kitu hapo mkuuHapo wote vichwa japo kiranga naweza nkamtoa mana hua anakosa akili anapo pinga uwepo wa mungu ila the rest wote ni TOP NOTCH π₯
Crush ako sio π ?Kmhakuna kitu hapo mkuu
Binafsi naona ni watu wa kawaida sana.
Misamiati na kuanzisha mada fikirishi sio kigezo cha kuwa great thinker..
Labda huyo Bob Manson naona anakuja kidogo. Ila wengine kama huyu binti kiziwi hakuna kitu,
Kuna member mrembo anaitwa ShesRise_1 huyu ni great thinker.
Siku akinikubalia ShesRise_1 I'll give her the world.. Na sio kwamba ni crush, sincerely speaking hana makuu huyu binti.Crush ako sio π ?
upo sahihi lakini sjapitia threads zake kwa kina.
Fight what yours,go to her PM.Siku akinikubalia ShesRise_1 I'll give her the world.. Na sio kwamba ni crush, sincerely speaking hana makuu huyu binti.
Pitia threads mkuu anatrigger curiosity sana
Wanawake mara nyingi wanahitaji consistent trialsMkuu hali si hali
Kaka ndege unajipigia promo kwa ID yako nyingine?Naona secretarybird haandikwi na members wa kiume humu kama great thinker, sijui Kwa nini, labda anawalomba sana mademu na wake zao humu.
But ukweli uwe unasema basi! Wivu Kila pahali!
Thanks bro, I'll do whatever I can.Wanawake mara nyingi wanahitaji consistent trials
Kama ni treasure itatake time kuipata ila fr kama upo deep sana juu yake trust your gut go again for it.
Sema inaonekana labda watu wanakukatisha tamaa ila trust your inner self, just try, try and try never tired for what you love π
Lazima ujipakulie mdinya mkuu. Usipojisifia utasubiri kusifiwa hadi unakufa.Kaka ndege unajipigia promo kwa ID yako nyingine?
Lengo la huu uzi lipo hapa,hayo maelezo mengine ni geresha tu,kwa sisi wenye kuleta mada fikirishi
Hahaha kaka ndege ID yako mbona haina shida au wame disable?Lazima ujipakulie mdinya mkuu. Usipojisifia utasubiri kusifiwa hadi unakufa.
Mleta mada alinukuliwa akisema, "napenda sana kuwa center of attention". Huyu jamaa asipopata attention atajinyonga aisee πLengo la huu uzi lipo hapa,hayo maelezo mengine ni geresha tu,
So,mlio mtaja mleta mada ndio mmeuelewa uzi vizuri sana,basi leo atalala akiamini kua ni kweli yeye ni GT coz lengo la huu uzi lilikua ni hilo tu.
Good luck sonThanks bro, I'll do whatever I can.
I'll keep shooting my shots,
Wewe Binti wa zamani na binti kiziwi naombeni baraka zenyu
Wame-disable.Hahaha kaka ndege ID yako mbona haina shida au wame disable?
Ulisha ona GT anaanzisha uzi wa kusema amemla Dada wa rafiki yake! Ulishawahi kuona GT anaanzisha uzi wa kumchukia Baba yake?Mleta mada alinukuliwa akisema, "napenda sana kuwa center of attention". Huyu jamaa asipopata attention atajinyonga aisee π
Mi nimeamua tu kumpa attention ili tu asijinyonge.