nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Nimewahi kuambiwa kuwa watu wote wa JF wanamgwaya Gaijin, nashangaa mpaka muda wangu jina langu halijatajwa .....au ndio katika kugwaya huko?
Mmh...ngoja nianze na wewe!
 
Hehehehe. . .
Tena tukifika namkaribisha alafu namwambia hubby "Baby, embu naomba unitajie namba yangu simu kuna huyu jamaa kaniomba."
chezea bishanga wewe,una ubavu huo?
Nikija kwako nakuja na convoy tuone kama jamaa yako hajapitia dirishani.
 
Nimewahi kuambiwa kuwa watu wote wa JF wanamgwaya Gaijin, nashangaa mpaka muda wangu jina langu halijatajwa .....au ndio katika kugwaya huko?
bishanga anakugwaya.
 
wasukuma oyeeeee
ngoja nihakikishe unabaki huku huku.

Heheheh. . .OYEEEEEEEE!!

Naomba uwe mtetezi wake ehhh. . . ?Ili akinikosea angalau uwe unampamba pamba namchekea tena badala ya kukimbilia kwingine.
 
Kuna wengine ni mali za watu bila hata wenyewe kujua wanamilikiwa. . .

Hii ngumu kumeza

Hakuna mwanamme anaemilikiwa na mwanamke kisha asijijue ever.

Kama kuna alowahi kukwambia hivyo kakudanganya
 
ntampamba sana tu
ila ujue hawajui kiswahili vizuri
unaweza dhania anakugombeza kumbe ndio kawa very romantic

akiwambia 'rara nikurenge'
kwetu sie is more than romantic aisee

Heheheh. . .OYEEEEEEEE!!

Naomba uwe mtetezi wake ehhh. . . ?Ili akinikosea angalau uwe unampamba pamba namchekea tena badala ya kukimbilia kwingine.
 
Back
Top Bottom