Nani mwenye makosa hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mwenye makosa hapa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bacha, Sep 23, 2010.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Habari waungwana?Hebu tujuzane kwenye hili:

  Mwanamke aliyelala na mumewe usiku akawa anaota ndoto usingizini na ghafla akapiga kelele "jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hizo kelele na akanyakua nguo zake na kuruka dirishani na ghafla anagundua "alaaaah! kumbe nipo kwangu na nimelala na mke wangu". Hapa nani mmwenye makosa, mke/mume?
   
 2. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ngoma droo wote wana makosa
   
 3. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  inaelekea hawa wote ni wanachama wa chama cha infidelity
   
 4. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii Kali, Wote ni WEZI wakubwaa!!!!
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  dah hiii kali... hamna wa kumlaumu mwenzake inabidi wakae chini wajiulize "kama alikufa kwa ukimwi alijali nini...???"
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mwenye makosa ni mwanamke kwasababu hayo maneno ya usingizini yamemshtua mmewe ndo maana akaogopa na kukimbia nje
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mmmmh!hapo patamu sipati picha wakiwa kwenye kikao chao cha chama hizo agenda wanazichangiaje kwa pamoja!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hapa wakiamua kuendelea kuishi pamoja waendelee, na wakiamua kupeana talaka wafanye hivyo!
   
 9. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ebu pitia katiba yao, nafikiri vikao wanakaa kwa style hii ya kiJF
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wote wana makosa, hivyo wakae chini, wajadili tukio, na wasamehane waendelee na maisha
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mmmhh hi kali sana ya leo. Wote wezi wakubwa hao
   
 12. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hapana watakuwa si wanachama wa infidelity, wanachama halali na hai hawafanyo hajizi wala hawakosei, hawa watakuwa ni wapinzani wa infidelity wenye tabia za infidelity.
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  The Following User Says Thank You to Beauty For This Useful Post:

  Teamo (Today) ​
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  jamani, talaka? mbona kirahic hiyo, hakuna ndoa itakayodumu.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hawa sio wanachama wa INFIDELITY watakuwa ni kutoka kambi ya upinzani maana ukiwa kambi ya upinzani ukijaribu tu lazima ukamatwe on the spot wanachama hai hawakamatwi hata siku moja halafu hata ndoto huwa hawaoti kabisa labda iwe ndoto zinazohusiana na mambo ya kibiashara
   
 16. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Eti nini????? Ebu ngoja niende kunywa chai kwanza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! duh.............. mmhhhh..... Grhhhhhh!!!! Mbavu zinauma jamani. Kula tano ndugu ndugu yangu BACHA>>>:lol:
   
 17. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mke ana makosa makubwa sana-anamshtua mwenzie usingizini, anahatarisha usalama wake kwa kuruka dirisha, anakawaida ya kumegwa kwenye kitanda cha mume wake, aaah! mbaya sana!
   
 18. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mwenye makosa aliyejificha
   
 19. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuruka dirishani akiwa na nguo zake mkononi ndio akagundua kuwa yupo kwake na amelala na mke wake!

  Inanikumbusha ile ya usiku kucha silali nakuota.
   
 20. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wote wanachovya chovya
   
Loading...