Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

Wandugu salama,
Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya serikali ndio sababu iliyomfanya Magufuli kutaka kulibomoa ili kumkomoa mmiliki.

Je, wadau kuna ukweli wowote kwenye hili?

Ni mali ya Mbowe
 
Sioni haja ya kufanya ramri, kama mmiliki mtu/shirika binafsi ata/litajitokeza na sheria itafuata mkondo wake (fidia) , kama ni la serikali libomoe (mali kwa mali). Tuache unafki kwenye mambo yaliyo straight forward.
 
Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.

Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.

Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.

Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Mkuu Pascal Mayalla,naamini hakuna mtu anakataa maendeleo ya nchi yake,ni sahihi kabisa kuvunja nyumba zilizo ndani ya mpango wa maendeleo ya barabara,kama wakilipwa ni utu uliotukuka,maumivu ni watu kuvunjiwa nyumba zao walizozijenga hata kabla ya hiyo 2007,pasipo kufidiwa,huo hauna jina lingine la kuitwa iaipokuwa UNYAMA na UKATILI!!
 
jengo hili naona sio la serikali, lingekuwa lao kujishauri kote huku kunakujaje, wangeamka vunjavunjavunja angewauliza nani na mali yao
 
Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.

Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.

Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.

Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
So serikali imejipanga kutapanya mabilioni kadhaa kwa mmiliki!!kupanga nikuchagua lakini hakuna muda tukaamua kutafuta namna yakuokoa pesa za walipa kodi kabla ya kufanya maamuzi ya awali na mahitimisho yake??
 
Kwenye ujenzi huu, wengi wanaona jengo tuu la tanesco tuu, halivunjwi lote bali lile la mbele tuu. Lakini ile miundombinu ya DRT, ambayo inavunjwa yote, watu hawaioni na imecost more jengo la Tanesco na hardly ina 5 years!. Kiukweli Watanzania ni watu wa ajabu sana katika mipango miji na upangaji vipaumbele vyetu. Kama plan ya Ubungo interchange imekuwepo more than 10 years kabla ya BRT, kwa nini serikali imespend 20 billions kujenga BRT kisha kuja kubomolewa less than 5 years!.

Paskali
 
Nahisi Tanesco ni mpangaji....mfuko wa hifadhi ya jamii ndio mwenye jengo
 
Kwenye ujenzi huu, wengi wanaona jengo tuu la tanesco tuu, halivunjwi lote bali lile la mbele tuu. Lakini ile miundombinu ya DRT, ambayo inavunjwa yote, watu hawaioni na imecost more jengo la Tanesco na hardly ina 5 years!. Kiukweli Watanzania ni watu wa ajabu sana katika mipango miji na upangaji vipaumbele vyetu. Kama plan ya Ubungo interchange imekuwepo more than 10 years kabla ya BRT, kwa nini serikali imespend 20 billions kujenga BRT kisha kuja kubomolewa less than 5 years!.

Paskali
Shida sana! Plan zetu ni miaka mitano mitano tu.
 
Hivi haya maghorofa yanayojengwa kila siku hii Bagamoyo road, kutokea town all the way hadi Sayansi hayako kwenye hifadhi ya barabara kweli au ndiyo tujiandae kwa bomoabomoa na kulipana fidia miaka ijayo?
 
Wandugu salama,
Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya serikali ndio sababu iliyomfanya Magufuli kutaka kulibomoa ili kumkomoa mmiliki.

Je, wadau kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mwenye hilo jengo anaitwa MFUGALE.
 
Wandugu salama,
Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya serikali ndio sababu iliyomfanya Magufuli kutaka kulibomoa ili kumkomoa mmiliki.

Je, wadau kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mh...mkulu ameshasema kama watu binafsi wameweza kubomolewa kwenye road reserve, why gvnt property? So sheria ni msumeno lazima ukate pande zote....so both TANESCO na wizara ya maji zitabomolewa kwa sheria hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom