Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

Aisee nyie vijana wa bavicha huyu mange ndo mkomboz wenu sikuhiz kumbe?

Duh ashawaona kuwa nyie ni marofa wa kufa mtu kumbe mkapa hakukukosea aisee

Hilo jengo siyo la huyo luwasa wenu mazee
 
Kwahiyo hata kama ni luwasa kama liko barabaran kwanini lisibomolewe?
 
Aisee nyie vijana wa bavicha huyu mange ndo mkomboz wenu sikuhiz kumbe?

Duh ashawaona kuwa nyie ni marofa wa kufa mtu kumbe mkapa hakukukosea aisee

Hilo jengo siyo la huyo luwasa wenu mazee
Mwenzio Kaoge keshatangulia!! Sijui Mungu atakukumbuka lini? Ushoga ni unajisi,ushoga ni kufuru,ushoga ni laana!!
 
Mkuu mbona povu hivo?

Unajisikiaje kumuita binadamu mwenzako ni shoga? Unaona raha sana siyo

Ivi kwa mfano nikiamua tuanze rigi utasimama kweli humu jukwaan au unataka watu tupigwe ban?

Changia maada ndugu yangu siyo kila mtu asiyekuwa upande wako bas uanze kumtukana jifunze siasa za kistarabu mkuu

Najua una mapenz na lowasa na chadema lakin mimi sina chama ndo maana siwez kutokwa povu namna hiyo

Badilika kiongoz wangu
 
Mwenzio Kaoge keshatangulia!! Sijui Mungu atakukumbuka lini? Ushoga ni unajisi,ushoga ni kufuru,ushoga ni laana!!
Alafu kuhusu swala la kaoge kutangulia hilo halina mpinzan kufa ni kila mtu atakufa mkuu

Hata wewe utakufa na inawezakana baaz ya nduguzo washakufa

Usimtus mamba ujavuka mto

Kufa ni kaz ya mungu ni ya kila mtu
 
Hilo jengo ni la tanesco na limejengwa na ppf, japo wengi huamini ni la lowasa
Hueleweki, kwahiyo PPF alikuwa ndio mkandarasi au Financier? Na Tanesco walishalipa deni kwa PPF? Na kama likivunjwa kabla hawajamaliza deni, deni litafutwa au bado wataendelea kulipa deni la PPF?
 
Kwenye ulipaji wa deni sijui ila PPF alikuwa financier
 
Tra watuambie nani mmiliki wa jengo hilo kupitia vielelezo ya malipo ya jengo hilo
 
Back
Top Bottom