Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Huwezi undermine power of intelligence service. Hili ni jeshi la watu wenye akili na waliobobea ktk ku silence pasipo kuonekana ktk mazingira ya kawaida. Ingekuwa jeshi lina nguvu kuliko hawa jamaa basi ni dhahiri shahiri ingekuwa rahisi kupinduwa nchi ila hawa jamaa wana network ndani ya jeshi kwa kazi moja tu kulinda usalama wa Nchi. Jeshi halina intelligence walio nayo Tiss. Na ndio maana hata jeshi wana depend on taarifa ya Tiss. Why ? Mifumo yakiusalama kwa Tiss ni mipana sana nayenye nguvu hawana majeshi kama ya jeshi letu ila wao wanasilaha hatari sana sana ambazo vault yake wanaijuwa wao. Usalama wa Taifa ukiwa weak nirahisi kuangusha nchi ila ukiwa imara sio rahisi kuangusha nchi. Ndio maana unaambiwa Mkurugenzi Nzena alikuwa moja ya makachero alizuwia mapinduzi ktk taifa hili wakati wa Nyerere na kama utakumbuka Hayati Kombe ndie mkuu wa idara ya usalama wa Taifa alie fanya maboresho mengi ikiwepo na kupenyeza Tiss Jwtz.
 
Hao aliowapenyeza kombe wengi ndio wanastaff miaka hii mitatu mbele mpaka minne.hakuna wengine Tena, nyerere ndio aliasisi utaratibu huo na Hakuna alieuenzi katika awamu zilizofuata
 
Huijui tiss wewe,
ngoja nikupe mfano mdogo tu,
diwani athuman, alikua jeshi la polisi kwa miaka mingapi akitumikia vyeo mbali mbali, ghafla akateuliwa kuwa DG..
ulikua unajua kama alikua tiss??
 
Aliyeongea kwenye msiba wa Magufuli kwa niaba yao ndio mkubwa wao, over. Au jiulize, wapi umesikia Idara ya Usalam imepinduq nchi?
 
Kabla halijaamua hao wafanya maamuzi wanakuwa tayari riported na usalama.
Information is everything you need to make perfect strikes, tiss wanazo Taarifa mpaka za jeshi
Na wakishareport nani anayeshughulikia nao?
 
Kabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
jeshi mzee lina watu wengi mno na wanaheshimiana
 
Watu bado wana undermine power ya Idara yetu hii wanasahau ni kazi ya Idara kuhakikisha Mkuu wa majeshi (CDF) ana remain loyal kwa Amiri jeshi mkuu
 
sawa ila huwez fananisha army na idara ya ujasusi ndani ya nchi yyte ile...jeshi is everything jeshi ndio baba wa taasisi zote na vyombo vyte vya ulinzi, jeshi ndio ngome ya taifa lolote lile...
Ni kama warokole kujifanya wa kristo kuliko wa Roman
 
Aliyeongea kwenye msiba wa Magufuli kwa niaba yao ndio mkubwa wao, over. Au jiulize, wapi umesikia Idara ya Usalam imepinduq nchi?
Usalama hawana kelele hata jeshi ukiona limepindua nchi ujue mchoro mzima katoa usalama
 
OMINOPIENT PARADOXY.
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
MWALIMU MKUU NA MWALIMU WA NIDHAMU NANI MKUBWA KWA MWENZAKE...
NB:MMOJA ANASIMAMIA MAJESHI YOTE MWENGNE ANASIMAMIA IDARA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…