Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

mmm, mbona kila mtu anajibu lake

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
You can't compare cdf na mkurugenzi Tiss, Cdf ni level zingine,thus why sometimes anaweza kuchukua nchi ikawa chini ya jeshi,Kama kunatokea mkanganyiko wa taasisi ya urais.Cdf ki protocol anateuliwa na rais na ana salute kwa rais,lakini kiuhalisia he is more superior than prsdnt,he can command anything to soldiers and be done onspot.japo ni swari za kipuuzi ngoja tu tukusaidie.
 
DGIS kirefu chake nini?
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Siro na diwani Nani mkubwa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Siro nimkubwa kwa diwani kiprotokali, na kiukubwa wa taasisi wanazozisimamia...ndo maan hata kwene hafla yyte wanapokaa au kuingia siku zote hukaa na kuingia kulingana na seniority...CDF,IGP, DGIS,CG-magereza,CG-uhamiaji,CG-zimamoto,Takukuru,mkuu wa kupambana na madawa ya kulevya
 
Sio kweli, mmoja Ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa na mwingine Ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi.
Vyombo vya Usalama vina wakuu wao lakini ukifuata Protocol hao wengine hawana cheo Cha General ndio maana wengine Ni makamishina huku Ni mabrigedia nk.
Hivyo inapelekea yeye kuwa wakwanza kimadaraka lakini sio kwamba anawaongoza kimajukumu.
Yes hawaongozi kimajukumu, ila kiprotokali yeye ni mkubwa moja si tu kwasababu ni general lakini pia chombo anachosimamia ndio chombo kikubwa au ndio baba wa vyombo vyte vya ulinzi na usalama...ndo maana CDF ndio mwenyekit wa wakuu wa vyombo vya ulinzi....nchi yoyte ile jeshi(army) ndio alfa na Omega wa vyombe vyte vya ulinzi na usalama
 
Kabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
Haha sasa hata usalama wa taifa wakijua hiyo mipango wanauwezo upi wakuzuia hilo lisitokee? Mnachekesha yani muanze kulinganisha jeshi na idara ya usalama hahahhaha...ndo maan nchi yyte kukitokea state of emergency jeshi ndo linashika nchi,Yani Kama hujui si usalama wala chombo chchte ambacho kinauwezo wakupimishana nguvu na kitu kinachoitwa Army kwene taifa lolote lile jeshi ndio alfa na Omega wa ulinzi kinyenzo,kiuwezo na kiupambambanaji
 
Yes hawaongozi kimajukumu, ila kiprotokali yeye ni mkubwa moja si tu kwasababu ni general lakini pia chombo anachosimamia ndio chombo kikubwa au ndio baba wa vyombo vyte vya ulinzi na usalama...ndo maana CDF ndio mwenyekit wa wakuu wa vyombo vya ulinzi....nchi yoyte ile jeshi(army) ndio alfa na Omega wa vyombe vyte vya ulinzi na usalama
Yah!
 
Usalama wa Taifa ni mdogo,lakini ndie mwenye intelligence/taarifa nyingi za kijasusi,na mbinu nyingi za kupata hizo taarifa,hata akitaka ajue CDF,kama ana kibamia,au ni homosexual,au michepuko yote ya CDF,na viongozi wakuu wa nchi,anaweza kujua.
Jeshini Kuna kitengo kinaitwa millitary intelligence na kinaongozwa na major general.... Kimsingi CDF is the God father of all....jeshi ni kubwa kuliko chombo chchte kile
 
Back
Top Bottom