Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Kwani Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi nani mkubwa?
Seniority hadi IGP ni mkubwa kwa DG wa TISS lakini je kiuhalisia iko ivo? Nani ana clearance na Rais 24/7 nani ana taarifa nyingi zaidi?
 
Ukisikia wanazungumzia system, ni hilo dude mnaloloitaja. :D:D. Hiyo idara ndo serikali yenyewe..
 
Kati ya vidole na mkono kipi muhimu???

Mkono bila vidole ni kama fimbo tu haiwezi kubeba/kushika vitu na vidole bila mkono ni kama vijiti tu havifanyi shughuli yoyote. Hivi vitu vinategemeana japokua mmoja ni mtendaji na mwingine si mtendaji ila yuko karibu na jiko anachochea kuni ili mtendaji atekeleze japokua hana uwezo wa kumuamrisha

Ila Protocol inatanguliza Defence kwanza ndo inafuatiwa na Security
 
Tanzania hakuna. Army, kuna Defense Forces, I stand to be corrected!
Haha sasa hata usalama wa taifa wakijua hiyo mipango wanauwezo upi wakuzuia hilo lisitokee? Mnachekesha yani muanze kulinganisha jeshi na idara ya usalama hahahhaha...ndo maan nchi yyte kukitokea state of emergency jeshi ndo linashika nchi,Yani Kama hujui si usalama wala chombo chchte ambacho kinauwezo wakupimishana nguvu na kitu kinachoitwa Army kwene taifa lolote lile jeshi ndio alfa na Omega wa ulinzi kinyenzo,kiuwezo na kiupambambanaji
 
TISS wanashindwa kumshughulikia/washughulikia watakaopanga mapinduzi ndani ya JWTZ ?

OOOOOH Aisee! TISS ndio utawala wenyewe hao JWTZ ni washika mitutu
Kuna TISS ndani ya JWTZ, inakuja taarifa kuwa wanajeshi fulani na fulani wanatarajia kufanya mapinduzi kitaundwa kikosi cha TISS na mapandikizi ya TISS huko JWTZ draft linapanguliwa

Haha sasa hata usalama wa taifa wakijua hiyo mipango wanauwezo upi wakuzuia hilo lisitokee? Mnachekesha yani muanze kulinganisha jeshi na idara ya usalama hahahhaha...ndo maan nchi yyte kukitokea state of emergency jeshi ndo linashika nchi,Yani Kama hujui si usalama wala chombo chchte ambacho kinauwezo wakupimishana nguvu na kitu kinachoitwa Army kwene taifa lolote lile jeshi ndio alfa na Omega wa ulinzi kinyenzo,kiuwezo na kiupambambanaji
 
Siro nimkubwa kwa diwani kiprotokali, na kiukubwa wa taasisi wanazozisimamia...ndo maan hata kwene hafla yyte wanapokaa au kuingia siku zote hukaa na kuingia kulingana na seniority...CDF,IGP, DGIS,CG-magereza,CG-uhamiaji,CG-zimamoto,Takukuru,mkuu wa kupambana na madawa ya kulevya
CDF-DEFENCE FORCE
IGP-POLICE FORCE
DGI-SECURITY SERVICE
CGP-PRISON SERVICE
CGF-FIRE AND RESCUE FORCE
CGI-IMIGRATION DEPARTMENT
PCCB-PREVENTION AND COMBATING CORRUPTION BUREAU

Huo ndio mpangilio wao kiprotoko.
 
Jeshini Kuna kitengo kinaitwa millitary intelligence na kinaongozwa na major general.... Kimsingi CDF is the God father of all....jeshi ni kubwa kuliko chombo chchte kile

Nionavyo mimi katika uongozi wa nchi hakuna kitu kama Absolutely power iwe ni kwa Taasisi au Kiongozi husika, huu ndio ukweli. Kiongozi mwenye hekima atafanyia kazi consolidation of institutional and individual powers ili zimsaidie kumpa nguvu katika uongozi wake. Usipofanya hivyo unakuwa dhaifu.

Jiulize kwa nini JPM hata Kikwete kuna wakati walikuwa wanalilia angalau kupata ka uhuru kakufanya mambo binafsi watakavyo? Muulize CDF anaweza kumgeuza atakavyo mkuu wa maMPs kwa mfano ama kwenda kulewa akarudi saa 8 za usiku akimba mapambio mtaani? Hana huo uhuru.
 
Jeshini Kuna kitengo kinaitwa millitary intelligence na kinaongozwa na major general.... Kimsingi CDF is the God father of all....jeshi ni kubwa kuliko chombo chchte kile
Intelligence ya jeshi Ni ya humo humo jeshini, TISS inaweza kujua taarifa mpaka za hiyo intelligence ya jeshi lakini Intelligence ya Jeshi haiwezi kujua ya TISS, kwa kuhitimisha, TISS wapo mpaka jeshini na wanafanya kazi za jeshi, lakini TISS hakuna wanajeshi wanaoifanyia intelligence. Vinginevyo mnaongopeana.
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
mkuu wa majeshi ni mkubwa cdf ni mkubwa kuliko mkurugenzi wa usalama, jeshi linamajukumu mengi zaidi ya secret service nchi ikiingia gizani jeshi ukamata nchi na askari huwa chini ya jeshi
 
uwongo upi sasa
( Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.

The one who control infomation controls everything. )

Ulichoandika hapo ndio UONGO..

Inatakiwa ujue TISS ni nini na JWTZ ni nini.

Jeshi lina intelijensia yake yenyewe haiingiliwi.

Unavyosema Serikali ndani ya serikali unaijua SERIKALI? mihimili yake unaijua? Usirahisishe vitu vikawa vyepesi
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Usalama wa Taifa...
 
( Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.

The one who control infomation controls everything. )

Ulichoandika hapo ndio UONGO..

Inatakiwa ujue TISS ni nini na JWTZ ni nini.

Jeshi lina intelijensia yake yenyewe haiingiliwi.

Unavyosema Serikali ndani ya serikali unaijua SERIKALI? mihimili yake unaijua? Usirahisishe vitu vikawa vyepesi
Sio kweli..
 
Back
Top Bottom